.
.
ππππ π NEEMA IS WANTED
waawa! Mark ndio wanafika nyumbani ile risasi ilimkwaruza vibaya sana..wacha kwanza Isabelle amuone π€£π€£π€£ ati "hayayaaayaya Mark kijana wangu"
Mark alikuja kwa room yake huku na kumbe ile risasi ilimuumiza hadi ashaanza kubadilika,temperature zinachange hadi Jojo anasuggest waende hosi but Mark akawaambia mnajua sababu hatuezi enda hosi,itakua kesi kubwa sana.
Amani akamuuliza babake,ningekupoteza? We unashughulikia tu Ian mtoto wa baba mwenye karibu akuue,hujali hata kutuhusu sisi? Mark akamwambia come on,not now!
Spirit ililetwa kumwagiliwa kwa kile kidonda na ni chungu eish! Ukiona hadi mwanauma anamorn ujue ni uchungu.
Jojo alirudi Rachael akamuuliza kwani what happened? Jojo akamwambia ni risasi,sasa Rachael akakuja kuona Mark,akapata ndio wakati Neema anamlalisha Mark kwa bed alale sasa kakajifanya caring ati but Mark akamwambia yoh yoh! Niko na Neema hapa atanishughulikiaπ€£π€£π€£Neema akamhug Mark akamkiss kisha akatoka alafu Mark akaambia Rachael aje "nizimie taa ukitoka"π€£π€£
Rachael amejam,alikuja akamshika Neema tai,akamuuliza wewe si nilikuambia if anything happens to Mark? Neema akamwambia nilifika huko kama ishafanyika ningedu? Rachael hadi anataka kumchapa Neema,anamwambia ufanye ujinga baba mtoto wangu aumie utaona,na hapendwi!
Sasaaa,kuna sherehe Val alipigiwa na beshte yake akamwambia itakua kesho na huyo beshte bado ni rafiki wa akina Jojo,so kuna possibility Jojo pia ataenda. Sharon akaambia Val sasa sikiza, wewe pia lazima uende hiyo party na nitahakikisha nanunua nguo expe sana..the reason Sharon anataka Val aende ni ju kuna mission wanataka kutekeleza.
Leo Mark halali solo,analala an Neema na Ian,hadi wanafurahia wakicheka kama Yesu,kumbe Rachael akipita hapo aliwaona alisikia vibaya,mbaya mbovuπ€£π€£
Rachael alikuja akamcall Isaac,akamwambia sikiza mwanaume,sijui utafanya nini but I want Neema out of my house, out of Mark's life for good sasa..Hii sasa ni kawivu ka Neema kupendwa na Markπ€£π€£π€£Neema chunga sana maisha yako,you are now WANTED.
ππππ π
Siku iliyofuata, Amani alikuja kumsikiza Jojo aone kama still anampenda Jayden hadi akamwambia wanaeza panga aende kuomba msamaha but Jojo akamwambia usijali,that chapter is gone,huyo siezi rudiana na yeye. Rachael tena alisikia akashindwa kama Jojo ashaachana na Jayden si sasa ataanzana na Amani? Alafu Amani amefurahia chini ya maji,hakuna kitu hufeel fiti ukiona crush wako akiachana na dem yakeπ€£π€£
Sasa Rachael tena,akatime wakati Neema na Jojo wanaongea,akakuja akauliza Neema kama wanaeza ongea lakini Neema akamwambia please,not today lakini Rachael akamwambia hatuongelei kuhusu hii yangu ni kuhusu huyu msichana wako.
Neema akauliza Rachael kwani Jojo amefanya nini? Rachael akamwambia huyu msichana wako anamtaka kijana wangu ju ashabreak up na Jayden...Neema akashtuka akauliza Jojo ni kweli? Rachael akamwambia eeh huyu msichana wako ako na tabia mbaya sana kama ya mamakeπ€£π€£π€£Yaani Rachael anaumwa hadi live live akaambia Neema kindly toka kwa maisha ya Mark alah.
Neema alijam hata akatoka kuenda kutafuta vitunguu sokoni na hapo,ndio Rachael akapata nafasi ya kuambia Isaac,kuja side za Kawangware,Neema amekuja huko kununua nyanya na vitunguu.
Isaac hakuchelewa alianza kumtrail Neema,akaona Neema amenunua vitunguu,kisha ameenda kwa duka ya manguo kununua tshirts na amenunua tshorts za nani? Za Mark.
Maskini wa Mungu Neema akiwa tu hapo ndani,magaidi watatu walifika,akiwemo Isaac. Mwenye duka akashindwa hawa ni akina nani,mwenye duka kujaribu kuleta mchezo aliwekelea tu kofi moja hadi chini.
Kisha Isaac akakuja kwa Neema sasa,Neema akamuuliza unataka nini ama ni Eddy amekutuma? Isaac akamwambia mimi hata bwanako hatujuani,Neema akamuuliza so unataka nini ama nani amekutuma? Isaac akamwambia sikiza,nachukia sana watu huingia kwa maisha ya watu na kuiba their little happiness,so kama unataka ukae na amani hama Nairobi na uende mbali sana na watoto wako.,that was a warning!
Nyumbani kuna wasiwasi sasa,Neema tangu atoke hajarudi na kumbuka,Neema hamjui Isaac,na hajajua ametumwa na Rachael.
Huku shuleni nakwo,Jayden alikua anamngoja tu Amani,wanaume walitwangana mangumi,mbaya mbovuπ€£π€£
Jojo na yeye alimfuata mamake anashindwa sana mbona amekaa.Kuulizia ulizia akaambiwa kwenye Neema alienda kufika akapata kumbe Neema si wale waoga waoga,ashajua already ni Rachael alitumana alipea Isaac misomo,akamwambia kama ni Rachael amekutuma enda mwambia mimi huwa siuziwi uoga. Jojo kufika akaingia,wakaletana letana juu hapo Isaac akaona kinaeza mramba watu wakiitwa,akaambia Neema ufanye venye nimekuambia,uhame Nairobi kisha yeye na goons wake wakahepa.
Follow Due to Demand of Facebook