đđđđ đ
Kumbe ile barua yenye Jojo alipewa ilitoka kwĂ Isaac ex wa Recho, Isaac ameandikia Jojo note ya love, mbabas anataka Jojo .Recho amepata hiyo gift penye Jojo ameeka na kuzua vurugu kwĂ Jojo akiwa anafanya usafi jikoni,Recho anataka Jojo aexplain kwĂ nini alipewa hiyo gift na Isaac na mbona alimficha Amani....Jojo akamwambia wewe ndio ulileta haya mambo yote na kama hangekua Amani ungekuwa umefukuzwa kwa nyumba....Jojo kwĂ hasira akachukua hiyo gift na kurusha kwĂ Dustin, naye Recho kuona hivyo akachukua na kuenda nayo....
After Neema kupata sad breaking đđ news that Mark amepata accident na hapatikani, rafiki yake mnafiki, Naomi, aliamua kumaccompany Hadi kwa scene ya accident. Naomi is pretending to be so sad and regretting why she sent Mark , anasema kama angejua Mark ataenda apate ajali, hangemtuma.
Hii inatufunza nini? Katika maisha yetu ya kila siku, tuko na marafiki waongo, wanafiki na wabinafsi, waliojawa na wivu na chuki kama Naomi. Ukiwa na rafiki na akubetray siku moja, hata arudi aombe msamaha, ni vizuri sana kujichunga na kukaa mbali sana na yeye. Usiwe kama Neema, mwenye roho mzuri na ya kusamehe na mwisho ni yeye anazidi kuumia zaidi. Wenye mnasema akuna kitu mnajifunza, hiyo ni mojawapo ya mafunzo mengi yaliyo kwenye tamthilia hii.
Neema aliamua kukol familia na kuwapa habari mbaya alizokua nazo. Alipigia Jojo, Neema Hana hata nguvu za kuongea. Ni kulia tu, akaambia Jojo, Mark amepata ajali mbaya sana, na haonekani.... Ile Hali ya kushtuka, Jojo akashindwa ataanzia wapi, anaulizwa na akina Amani, Isabel na wengine chenye kinaendelea, haongei, ikabidi Amani achukie simu ndio Neema akamwelezea Mark amepata ajali. Amani, Jojo na Rachel wakatoka mbio, kuelekea huko. Sharon akabakia hapo ameshangaa nini kinaendelea, lakini kwa kuwa ni JIRANI mwema,𤣠akasema lazima aje aulize huku kwenye kulikua kwa Isabel, shida ni nini .
Neema kufika kwenye ajali imefanyika, hawakuamini macho yao...gari alimokua Mark, limebondeka mbaya, hata ukiangalia, akuna binadamu anaezatoka hapo uhai. Naomi hapo pembeni , anasmile tu akijua lengo lake limetimia. Akina Amani pia walifika, kila mtu ni kilio tu đđ. Police wakauliza Neema, je, Mark alikua na maadui wowote ama mtu yeyote aliyetaka kumumaliza? Follow Joseph Mmara ukiendelea kusoma. Neema wakasema, Mark hajakua na tatizo na mtu. Polisi wakasema, hii ajali, si ya kawaida. Kuna mtu amefanya hivi kimakusudi kumaliza Mark. Naomi Kiko hapo kinajifanya kuuliza, Sasa nani anaezakua na roho mbaya hivo. đ¤ Masaa ni ya jioni, Giza likaanza kuingia, ikabidi police wameeleza familia hawaezi kuendelea na search, watu waende, watarudi asubuhi kuendelea kutafuta mwili.... Amani hakukubaliana na Hilo, akaanza kisukumana na polisi, na kwa huo msukumano, Joseph Amani, akafaint tena nakupoteza fahamu, remember hajapona vizuri, ikabidi tena, ni Amani kukimbizwa hosi ama kushughulikiwa.
Hatimaye Amani alifaintuka, na ndio hawa, yeye na mamake na Jojo, wamerudi nyumbani, lakini daktari wamemshauri aweze kupumzika zaidi Hadi wakati atapona vizuri, lakini Neema, hayupo, je amebaki wapi? Wakapata Sharon na Val wako hapo, kuwafariji hapa na pale. Sharon akawaambia, In case of anything, hao kama majirani, wako hapo kusaidiana.
It's getting late, Neema hajarudi. Kumbe Neema, kwa kuwa anapenda Mark saana, aliamua liwe liwalo, hata kama ni kukesha, lazima Mark apatikane ndio atoke hapo. Akiwa hapo, anafikiria tu Mark, vile wamekua na good memories together, their love , đ penye wametoka, anakosa kuamini. Anakumbula Mark akimwambia, "nakupenda sana Neema, I love you and I will never leave you, you are my life." Imagine, wewe umewaiambiwa you are my life? đđ¤đ. Follow Joseph Mmara ukiendelea kusoma. Huku nyumbani nakwo, kumeanza kuwaka...Ian hajatulia, anataka mamake na Mark. Wanajaribu kumdanganyadanganya but Ian hataki, anawauliza kama wanafikiria yeye bado n mtoto. Ian akawaambia wamwambie kama mamake na Mark wameamua kumu-abandon kama vile Eddy alifanya. đ˘Jojo hajue ataexplain aje kwa Ian the situation vile iko bila kumutraumatise. Lakini, mjinga Rachel, alikuja na kuambia Ian, "shut up wewe kitoto, unatupigia kelele huku, na kumwambia ni wewe unafanya mark anapotea na wewe na Jojo mfwate mama yenu..Amani akashangaa, huyu anaambia aje mtoto, Amani akamwambia, just shut up..Kisha Recho akainua mkono anataka kuchapa Ian,hapohapo Amani akamshika mkono na kumwambia don't try.... Venye mkono wa Rachel ulishikiwa kwa hewa na Amani, hata hakujua....Amani akauliza mamake, wewe n mama wa aina Gani wewe. Amani alijam, akaambia mamake, hata ubaki hapa peke yako, Mimi na familia yangu, tunaenda kwa nyumba ya Jayden, tunaenda kumngojea Mark huko, na usijaribu kutufwata. Rachel akidhani ni mchezo, Amani, Jojo, Ian, Isabel na Babu J, haooo, wakaenda kwa nyumba ya Jayden Wakalala huko, just bcoz of Rachel.
đđđđ đ
Neema alikaa hapo, kwa baridi hadi asubuhi, ndio polisi wanarudi. Wanashangaa kwani Neema aliamua kukesha huku. Anyway, day 2 ya kusearch mwili wa Mark ikaanza.
Kwa Mark, Jojo na Amani washaamka. Amani akauliza Jojo kama mamake alimkol, but No, she didn't call. So ikawa watafute vile watakunywa kachai kwanza ndio waende huko. Jojo akatoka kuelekea dukani na Amani naye alikua amesahau dawa zake huko penye mamake Ako, akatoka kuziendea.
Kumbe mjinga Isaac, ashaachiliwa. Na ndie huyu anafwata Jojo nyuma bila Jojo kujua, makosaa. Amani alifika huku kuchukua dawa, akapata mamake. Rachel akamwambia, ona vile unakaa miserable kama hao watu umelala nao tu kwa baridi, knowing very well ur condition. Follow Joseph Mmara Updates ukiendelea kusoma. But Amani akamwambia, am very happy penye Niko, na Mimi sijakuja hapa kuargue, nimekujia dawa zangu. Sasa Rachel akaambia Amani aty ngoja nikuletee, akaja huku ndani, na instead ya kumletea Amani dawa zake, akachukua dawa tofauti na zake, na hapo karibu na dawa za Amani, akawekelea ile parcel Isaac alitumia Jojo akiwa jela. So vile anmletea dawa, Amani akamuuliza , yaani hata kama mama, hujui dawa zangu, akajam na kuingia kuja kujichukulia dawa. Kufika hapo penye dawa ziko, akapata ile parcel, na imeandikwa, "from Isaac to Jojo", Amani akauliza mamake, hii ni nini? Sasa Rachel anajifanya hajui hiyo kitu imefikaje hapo. Amani akatoka tena kama amejam, hata hakuchukua dawa.
Huku barabarani nakwo, Jojo akirudi, mbele yake, Isaac. Jojo akamuuliza anafanya nini pale, Isaac akamuuliza, ulikua unadhani nitakaa jela sana, si nliwaambia nitarudi? Jojo akamuuliza, so u want to kidnap me again? Isaac akasema, unfortunately, No, huwa sifanyi jokes mara mbili. Jojo akashangaa, unamaanisha? Isaac akamuuliza, kwanza, Did u like my gift? Kama wanargue hapo, Amani akafika. Amani akauliza Isaac anafanya nini hapo, wakaanza mangumi...Amani akawekelea Isaac moja, lakini Sasa Isaac, ni kimodaa, aliwekelea Amani ngumi Moja ya uso kwa tumbo, Hadi chini, na kupoteza fahamu....makosaa... Tutarudi baadae kuona kama alifeintuka.
Huku kwa accident scene nakwo, wametafuta na kutafuta lakini mwili haupatikani. The police in charge, akaja akasema, vile kunaenda, ni kama huo mwili ulipelekwa kwingine baada ya ajali. Lakini kidogo hivi, police mmoja akaleta report akisema Kuna mwili umepatikana huko chini kando ya mto na umepelekwa city mortuary kwa forensics. Neema nguvu zikamwishia. Neema akaambiwa, ataandamana na police aende kutambua mwili kama ni wa Mark. Acha nifwate Neema polepole, huku ni machozi tu, nakuja kuwaambia kama mwili ni wa Mark ama apana đđ
Thank you all my loyal followers. Nliwaandikia hii Jana kama extra updates, na ndio imekuja tu kwa episode ya leo, thanks to those who believe in my work.