𝐍𝐄𝐄𝐌𝐀 𝟐𝟓𝐓𝐇 𝐉𝐔𝐋𝐘 𝐖𝐑𝐈𝐓𝐓𝐄𝐍 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒

 

Jayden Ameua

Usisahau kuweka LIKE na Comment baada ya kusomea Hadi chini

**

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 JAYDEN AMEUA?

Jana tuliacha after Val ameambia Jayden afanye kitu na Jayden kimaembe embe akaamua kumtime Amani,anajua place Amani atapita na piko yake,akamtime,kisha akamrushia kijiwe kikubwa,mbaya mbovu. Amani,plus pikipiki,chini! Hapo ndio Jayden akarealize wooii,amefanya makosa. Ona sasa anakimbia kuona kama ako sawa.


Baada ya Jojo kuwa kidnapped, Isaac alichukua simu yake akamcall Neema,akamwambia sikiza, kama uko na mtu hapo act as if unaongea na Jojo kama unataka mtoto wako akiwa uhai...Ikabidi Neema ajifanye ni Jojo anaongea na yeye na on the other side,Isaac akamwambia niko na Jojo na nakutumia location ukuje,na ukuje peke yako,nikiona tu kamtu kengine,Jojo anakula risasi kumaliza.


All this time Neema anaongea, Mark alikua hapo but ikabidi ajifanye ni Jojo ndio Mark asijue,kisha akaambia Mark,Jojo anamtumia location waende kuongea Mum-Daughter talk..so Mark hakushuku anything.


Rachael alienda na Sharon nyumbani na akaambia Sharon kila kitu venye alitumana Isaac kuenda kuattack Neema hadi Sharon akauliza Rachael,nilidhani wewe ndio mwenye kanisa kumbe pia wewe ni apana machezo 🤣🤣🤣


Hapo hapo,Isaac akamcall Rachael,akamuuliza uko na Neema? Rachael akamwambia zii,kisha Rachael akatoka kiasi kuongea kwa simu,akamuuliza Isaac mbona uniulize? Isaac akamwambia nishakidnap Jojo na nimeambia Neema akuje. Rachael akamwambia baaasi,do anything you have to do hadi Neem aachane na Mark ndio pia muachane na Jojo..huh! Kumbe Sharon na Val walisikia kila kitu.


Sharon akangoja tu Rachael amemalizana na phone call,kisha akamuuliza,mbona unakidnap mtoto wa wenyewe ju ya mwanaume? Rachael akamwambia I have to do anything kupata my Mark. Sharon akamwambia hata kama nachukia Neema,but kutake Jojo hostage,umefanya makosa sana,kutumia mtoto wa wenyewe unasahau pia wewe uko na mtoto,si poa kabisa.


Jayden alimanage kuita ambulance ju this time round,Amani amekaa sana bila kufenduka,akacall ambulance na haoo wanaenda hosi. Kufika hosi,madaktari wamejaribu sana kumpiga shock za kifua,manze Amani is not responding na hapo ndio ikabidi Mark apigiwe simu,akaambiwa nini na Jayden "Joseph amepata ajali tuko hosi sai sai"


Rachael pia akiwa kwa Sharon,kumbe Sharon amekaa akaona huyu Rachael ni mafi ya kuku kabisa,akamwambia sikiza, nilikuleta kwangu nikidhani wewe ni mzuri but after kuone umetumana Jojo awe kidnapped,hapa kwangu hukai,kanyaga kubwa kubwa uende..lakini punde si punde, Rachael akapigiwa simu na Mark,akamwambia umesikia aje? Joseph amepata ajali,yuko hosi na roho yake imekataa kuamka..Rachael akashtuka,mbaya mbovu. Sharon akamwambia unaona zinakuhappenia Mwenyewe 

Neema's Daughter in Neema Series (JoJo) And Mark's Son (Joseph-Amani) in Public Participation 
Due To Demand 



𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐

Neema alipewa pin location hadi penye Isaac wako. Amefika akiwa na hasira sana anauliza Isaac,mtoto wangu ako wapi? Isaac akamwambia relax,si hata uanze na salamu? Jojo kako kwa boot kamewekwa soletape kwa mdomo.


Sharon akakuja akaambia Val guess what,nimewarn tu Rachael sai,nikimuwarn asifanyie mtoto wa wenyewe hivyo,guess what,Amani amepata ajali. Val akashtuka akaamka akaambia mamake acha nikimbie nione lakini Sharon akamwambia upuzi,uende uende wapi? Kalisha matako chini,Madam Saviour.


Mark na Rachael ndio wanafika hosi,Rachael anauliza Jayden,kwani Amani alipata aje accident? Jayden hakuwaficha,akawaambia ni yeye alicause ile accident,nilimgonga na gari. Mark walishtuka,mbaya mbovu.


Mark anauliza Jayden,why? Jayden akamwambia nilikua tu na hasira na nilitaka tu kumpunish. Mark alijam sana akambia Jayden I took you like a son mbona ufanyie mtoto wangu hivi? Shame on. Hadi Mark alidondokwa na machozi.


Neema alikuja akaambia Isaac please,nipe tu mtoto wangu hata ukitaka nitoke hii Kenya. Isac akamwambia hivyo sasa,now ndio unaongea. Isaac aliambia Neema sikiza, uachane na Mark na uende kabisa utoke Nairobi. Neema alikubali tu ju anataka mtoto wake,kumbe Neema wakati anakuja alipigia makarao simu.

Neema na Mark | IMAGE: Viusasa
DUE TO DEMAND 


Polisi walingoja tu Neema amepata Jojo kisha wakaingia kama umeme. Isaac akaambia Neema umefanya makosa kuniitia polisi jela sitakaa sana and I will be coming for you.


Baadaye Mark alimcall Neema akamwambia situation venye iko,Amani ako hosi. Walifika na hapo tu kwa mlango,Rachael akaanza na wao,akaambia Neema ju ya Jayden your daughter future husband mtoto wangu ako hosi,Jojo pia akamwambia wewe,ju yako hujui venye your ex husband alikua amenikidnap but cha hofu,wasiwasi na huzuni ni,Amani's heart,imefika mwisho and he only have few days kuishi. Wueh makosa sana,unless afanyiwe heart surgery,by Saturday,Amani will be no more.🥲🥲🥲

Post a Comment

Previous Post Next Post