𝐍𝐄𝐄𝐌𝐀 𝟑𝟎𝐓𝐇 𝐉𝐔𝐋𝐘 𝐖𝐑𝐈𝐓𝐓𝐄𝐍 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 - KIUKWELI VAL ANAPENDA AMANI.

 



**

**

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 KIUKWELI VAL ANAPENDA AMANI.

Its Joseph wedding preparation. Jojo amekuja na mamake kutafuta nguo mzuri sana ya kuvaa akiwa na Isabelle. Jojo kametokelezea vizuri sana kwa wedding gown hadi Neema anajisemea tu enyewe nilipata katoto karembo.😍😍😍


On other side, Mark yeye aliamkia job,kuna dawa ilikua apige mimea yake ju zilikua ziananza kudhoofika. Huzuni ni kuwa, Bossy wa Mark ashapata mtu wa kununua hii shamba yooote,yote yote but still Mark hajajua ni nani ananunua,so akaona akuje kuona bossy kutaka tu kuuliza mnunuzi ni nani.


Lakini wakuu,eeh! Mwenye amenunua hii farm yoote,amini usiamini,manze ni kupurnish tu Mark na Neema alitaka,...NAOMI. Naomi aliulizia nyumba yake anunue farm ndio mark akose job,Neema akose pa kufanyia hotel ndio wateseke,wah! Mbaya sana. Thats how evil people can be.


Eddy aliita akina Mark na kina Jojo wakuje for a dinner treat kwa hotel yake,sasa akiona Neema venye analalia lalia Mark anaboeka sana but shida ni,hana cha kufanya🤣🤣ni akae hapo atulie akisikia vibaya pole pooooole.


Jojo na Joseph waliingia kadance kiasi hapo kuburudika tu huku Jojo in as much as anajua anaoleka na mtu anapenda,ashajua sooner or later Amani ni kuenda sayuni anaenda.


Val na yeye,ni kulia tu,akiimagine Amani wake,nwenye alifaa kumpenda ampende yake yote ndio huyo anaoleka na Jojo,na wacha hivyo,Jayden pia na yeye,amelia sana..akiimagine Jojo wake amemuacha ameamua kuoleka na Amani,anakosa kuamini.


Sasa 🤣🤣hii party ilikua ya invites only,na usisahau,Jojo alimualika Val but hakumualika Sharon but,Val alikuja na mamake.


Neema kuona tu Sharon akasema apana,hii wedding ni ivites only,alafu cheki, "alafu cheki, Val akapenda juu hakuja kujumuika na watu wengine ungeshindwa sana kanaenda wapi"


Neema aliambia Sharon kama hauna card ni utoke. Sharon akamwambia hata sikutaka kuja hapa,nimeleta tu Val aone Amani ameoa Jojo ndio aache kusema anapenda Amani. Neema akamwambia basi ushaona unaeza toka sasa 🤣🤣🤣


Sharon akitaka kutoka akashindwa haya na Val wangu ako wapi..wacha sasa niwaonyeshe kwenye Val ako 🤣🤣Val wakati alipanda huku kwa room,kibahati mbaya akapata room yenye imeekwa wedding gown ya Jojo akajua baaaasi,hii lazima niwe wa kwa za kuvaa.


Val akachukua nguo ya Jojo akaivaa lakini punde si punde,Jojo akafika,akamuuliza,akili yako iko na akili wewe? Val akamwmabia hii nguo ni mimi yafaa nivae,mimi ndio yafaa kuoleka kwa Amani si wewe,wewe unafanya tu ju unataka kurevenge Jayden then after that utaacha Amani sindio? Jojo akaanza kulia,akaambia Val sikiza, mimi siezi ama sitamuacha Amani,but ni yeye ataniacha...Val akashindwa haka kanaongelea nini? Jojo akamwambia Amani ni mgonjwa, and he will be dead in weeks time,wewe shida hapo ukidhani nitamuacha Amani but it pains me hadi kwa intestine ju ni yeye ataniacha...ingekua poa kama ningemuacha ndio but ukweli wa mambo Amani is dying very soon,ako na ugonjwa wa moyo. Wah! Val alishtuka sana.


𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐 

Val alijam sana ,akaamua kutoka tu na ile nguo ya wedding hadi nje,kufika nje akakutana na Amani,akamuuliza why? Mbona si mimi unaoleka unaenda kwa Jojo? Amani akamuuliza wait,hii ni nguo ya Jojo umevaa mbona unataka kuniharibia siku yangu? Val akamwambia Jojo haoleki kwako ju anakupenda,ni kukuhurumia tu ju unaenda kukufa. Amani akamwambia najua,so please,acha nikufe nikijua nampenda Jojo.


Naomi na yeye alimuita Karen for a fansy breakfast hadi Karen akamuuliza why are you doing this? Naomi akamwambia nilitaka tu kukuomba msamaha in person,na nataka tu tuwe marafiki kama zamani. Karen anashindwa sana huyu ana plan gani na mimi 🤣🤣


All in all Karen alikubali msamaha wa Naomi na wakaona ubeshte ukarudi hadi kuna kachai hapo...Karen akajiwekea chai but akanotice haya,mbona haina sukari. Naomi akamwambia sikuhizi huwa situmii sukari ju najaribu kucut weight kiasi..so sikiza, Karen yeye hunywa ya sukari,haezi kunywa hii yenye haina sukari,so akachukua sukari pale,ilikua tu hapo by the way,akajiwekea yeye mwenyewe kwa kikombe chake,mako...makosa....Hiyo haikua sukari 🥲🥲🥲🥲🥲


Sharon na yeye ako serious na Isabelle kuwatoa kwa nyumba hadi anaambia Isabelle before waende harusi watoe vitu zao kwa nyumba. Isabelle aliambia Babu Jay,wasiambie mtu wasije wakaharibu harusi ya wenyewe.


Sherehe za harusi zishaanza,watu wamenng'ara kung'ara. Ona Neema 😍😍😍kwanza figure,awww excatly kama yenye Jamal hupenda 🤣🤣🤣🤣


Neema wakiwa tu hapo,alipigiwa simu na Jayden akamwambia please kama naeza waona na uncle Mark..Mark hakutaka kuenda akaambia Neema mwambia tu hatuko but Neema akamwambia too late,he is outside. Unadhani Jayden anataka kufanya nini?

**

**

   

Post a Comment

Previous Post Next Post